| 1. | Ras Nas | | | Mtandao rasmi wa Ras Nas, au Nasibu Mwanukuzi, mwanamuziki wa Tanzania mwenye makao Oslo,Norway. Habari zaidi za Ras Nas, sikiliza muziki, soma mashairi pamoja na hadithi na mengineyo mengi. www.rasnas.net |
| 2. | Malaika Tours Ltd | | | Kampuni ya kupeleka wageni kwenye mbuga za wanyama,kuongoza watalii kwenye milima kama Mlima Kilimanjaro,Meru na kutembelea fukwe za bahari kama Pangani,Zanzibar na Mombasa nchini Kenya. www.malaikatours.com |
| | |